1. Ni furaha gani , tunapotembea kwa
pamoja
Tunaposalimiana wote eeh, kwa upendo ooh
Ni huzuni gani , tutakapotokwa na machozi
Tukikimbilia milima yote, nayo yakimbia
What a joy, when we walk together
When we greet each other, with love
What sadness , when we shall be
crying
And they too shall run away (x2)
CHORUS
Umshukuru Mungu
, kwa yote anayotenda
Tena sema
asante, Kwa afya uliyo nayo
(Kisha tenda wema
Kwa matarajio yake, milima itasimama)
Give
thanks to the Lord, for all He has done
Again give Him thanks, for your health
(Then be kind in your hopes, the mountains will come still)(x2).
2. Mara nyingi ndugu , imekuwa mazoea
yetu
Kuwatenga wote walo na shida , siku zote eeh
Dada, mama,baba ,tuwakumbatie wenye shida
Tusaidiane kwa pamoja ,tufurahi sote
Most times brethren, it has been our
habit
Isolating those in problems all the
days
My sister, mother and father lets
hold those in problems
Let’s help ourselves so that all of
us are happy(x2)