1.
Nimetanga dunia yote eeh,nikitafuta mahali pa
raha
Kwani dunia yote na vyote vilivyomo vyote
vinapita tu uuh
Vyote vinatoweka aah,vyote vinapotosha
I
have been wandering the whole world,looking for an enjoyable place
Because
all that is in this world will just pass by
Everything
that spoils will disappear(x2)
2.
Nakungoja bwana wangu uuh
Utakaporudi Yesu Mwokozi iih
Unitoe katika dunia hii,niende nawe juu
mbinguni Bwana
Nipate raha niishi nawe,milele ata milele
Iam
waiting for you my Lord
When
you shall come back Jesus Christ
You
take me with you My Lord
Where
I shall get joy with you, forever and ever(x2)
CHORUS
Dunia yote eeh,ukatili mtupu
Majonzi,vilio kila mara aah
Hapana raha hapatamaniki
Naingoja nchi yangu Yerusalem mpya
This whole world is filled with animosity
Everytime we hear cries and
sadness
There is no joy, it cannot be
admired
Iam waiting for my New
Jerusalem(x2)
No comments:
Post a Comment