Thursday, 14 May 2015

ANGAZA GOSPEL SINGERS - KILA ASUBUHI LYRICS




Kila asubuhi,ongea na Mwokozi
Weka mada za siku katika ombi lako
Mwokozi ndiye funguo,kwa kila tutendalo

Talk to Christ every morning
Put your day’s outline in your prayer
Christ is the key; in everything we do(x2)
                                                CHORUS

          Mweleze ratiba yako,yeye akuongoze
          Mpe lengo la siku atakuwezesha
          Omba uamkapo ,ongea na Mwokozi
         Ni rafiki mwaminifu,atakuzidishia

          Tell Him your timetable so that He may lead you
          Give Him the aim of the day, He will enable you
          Pray as you rise up, talk to Christ
          He is a faithful friend, He shall add you more(x2)

Hawa wataifanya imani yako tisti
Nafsi yako ijawe na roho mtakatifu
Upate Baraka tele, uwe kiumbe kipya

These that will make your faith upright
Your spirit shall be filled with the Holy Spirit
You shall get blessings, and be a transformed creature(x2)

Tafuta mahali rasmi pa kuomba
Kila uendapo kutoa dua lako
Malaika watakuwa pale wanakungoja

Secure a place specifically for praying
Everytime you go to make your prayer
Angels shall be there waiting for you(x2)

No comments:

Post a Comment