Je waelewa mwendo waisha,karibuni
twafika nyumbani,,shida zote zote tutaziaga,pale nchi isiyo na kifani x2
CHORUS
Ni furaha kuu nyumbani kwetu,kwa
walioshinda vita,,tutaishi pamoja na mwokozi wetu,siku zote milele amina x2
Waliolala katika Bwana,wataamshwa
kumlaki Bwana,na sote tutabadilishwa,twende naye Mwokozi nyumbani x2
(CHORUS)
X2
Fanya matengenezo mwenzangu,kao
jipya latungojea,tujipe moyo tukaze mwendo,ili tuwe washindi siku hiyo x2
(CHORUS)
X3
No comments:
Post a Comment