(Tutaingia kwa shanhwe)mjini
Yerusalemi,tutapokelewa,mwisho wa tabu za dunia
x2
CHORUS
Tutatembea na Yesu taratibu kwa furaha kwa
kelele zitasikika sauti za washindi. X2
(Tutaingia kwa shangwe)tukiimba
wimbo mpya tutacheza zeze pamoja bila kufundishwa x2
CHORUS
X4
No comments:
Post a Comment