Ni mara ngapi umemkana,Bwana kwa
matendo yako,ila hizo dhambi unazofanya,Wamsulubu Yesu
{(kumbuka) kumbuka hukumu inakuja
kwa yale yoye unayotenda suri zitafichuliwa mbele zake Bwana Yesu} x2
CHORUS
Hakuna hata mmoja,atayesimama mbele
zake,akiwa Bwana hakimu,je utakuwa upande gani{,hukumu yaja kwa wale wote
watendao maovu} x2
Ni mara ngapi umeyawaza,yasiyo
mema kwa Bwana,na kuyanena yasiyo haki kumbuka siku yaja
{(kumbuka) utavuna
ulichopanda,kifo ama uzima wa milele,yajaposomwa majina,lako litakuwa wapi} x2
(CHORUS)
X2
{(Hukumu)hukumu yaja kwa wale
wote,watendao maovu} x2
{(Furaha) Furaha yaja kwa wale
wote washindao mauti} x4
No comments:
Post a Comment