CHORUS
Yeye hukaa ndani yangu ndiye
Bwana wa mabwana,yeye hukaa ndani yangu ni Yesu Bwana wangu x2
Shetani kama samba azunguka
zunguka ampate mmoja amwangamize
Wengi wamepotea wametengwa naye
na Bwana amehahidi,kitupigania
Kumtegemea mwokozi,Kwangju tamu
kabisa,kukubali neno lake nina raha moyoni
`CHORUS X4
No comments:
Post a Comment