Thursday, 14 May 2015

ANGAZA GOSPEL SINGERS - TUMSHUKURU MUNGU LYRICS




1.      Ni furaha gani , tunapotembea kwa pamoja
Tunaposalimiana wote eeh, kwa upendo ooh
Ni huzuni gani , tutakapotokwa na machozi
Tukikimbilia milima yote, nayo yakimbia

What a joy, when we walk together
When we greet each other, with love
What sadness , when we shall be crying
And they too shall run away (x2)
                                                CHORUS
                                Umshukuru Mungu , kwa yote anayotenda
                                Tena sema asante, Kwa afya uliyo nayo
                                 (Kisha tenda wema Kwa matarajio yake, milima itasimama)

                                Give thanks to the Lord, for all He has done
                                 Again give Him thanks, for your health
                                 (Then be kind in your hopes, the mountains will come still)(x2).

2.      Mara nyingi ndugu , imekuwa mazoea yetu
Kuwatenga wote walo na shida , siku zote eeh
Dada, mama,baba ,tuwakumbatie wenye shida
Tusaidiane kwa pamoja ,tufurahi sote

Most times brethren, it has been our habit
Isolating those in problems all the days
My sister, mother and father lets hold those in problems
Let’s help ourselves so that all of us are happy(x2)

No comments:

Post a Comment