CHORUS
Sitawaacha
la hasha,sitawaacha la x3
1.Mimi nakweenda kwa Baaba
msifadhaaike,ni nanyi hata mwisho wa dahari x2
CHORUS
2.( Mmeniamini na mimi)
sitawaacha la x2
(Nimewaombea kwa baba msihofu)
sitawaacha la x2
CHORUS
Nimewanunueni kwa gharama
ninawapenda sana,ni nanyi hata mwisho uje,sitawaacha la x
CHORUS
Mmenianini na mimi sitawaacha
la x2
Nimewaombea kwa baba msihofu x2
Sitawaacha la hasha sitawaacha
la x3
Sitawaacha la
hashaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,sitawaacha laaaaaaaaa
No comments:
Post a Comment