1.Nimeona nuru,nuru ya wokovu
inanimulika{,nitajitahidi kuifuata nuru hii,na uzima wa milee} x2
CHORUS
Sitaacha kuifuata nuru hiyo
ya Bwana Yesu inaniongoza{,nuru yapendeza ndani ya giza na kuangaza kote milele
na milele} x2
2.Nimeona nuru,nuru ya wokovu neno
lake Mungu lafukuza giza kama miale ya jua inayopendeza wote} x2
3.Nuru itangaa walimwengu wote
waitazame,{waweze kupona ndani ya nuru hizo na dhambi haipo tena} x2
CHORUS X2
Nuru yapendeza ngani ya giza na
kuangaza kote milele na milele x3
No comments:
Post a Comment