(Ubatizo wa
kweli kuzamishwa ndani)ya maji mengi kama alivyoonyesha,kwenye mto wa yordani,
(Tuige mfano)
wa Yesu na mbinguni tutafika x2
CHORUS
Ubatizo
kwa maji nalo ndiyo tiketi ya kwenda mbinguni,usipobatizwa mwenzangu,kamwe
hautamwona mwokozi x2
Kuvuta bendera
na kuruka moto,ni ubatili usipoteshwe mwenzangu,maandiko yasamaje(,tuige mfano
wa Yeso ni kielelezo kwetu) x2
CHORUS X3
No comments:
Post a Comment