Monday, 11 May 2015

The Bereans Gospel Singers - Wanafunzi wa Yesu lyrics




Walipomwona walihofu,kumbo ni Yesu mkombozi wetu kwa sababu ya imani haba,hawakumtambua  x2
                                                                CHORUS

    Wanafunzi wa Yesu wakisafiri baharini usiku dhoruba kali ikaanza wote wakaogopa wakakosa tumaini
    (Ndipo akajitokeza kwa mbali walipomwona wakawa na hofu kumbe ni Yesu x2) x2

Nasi tumefananishwa nao twajiita kuwa wana wa Mungu lakini imani yetu haba hatutaokolewa x2
                                                                                CHORUS X3

No comments:

Post a Comment